Upeo wa Ufahamu na Ufupisho kwa Shule za Upili
Upeo wa Ufahamu na Ufupisho kwa Shule za Upili ni kitabu cha mazoezi na marejeleo kwa wanafunzi wa shule za upili.
Kitabu hiki kipya katika uwanja huu kitamwongoza mwanafunzi kujiandaa kwa mazoezi ya ufahamu na ufupisho.
Kina sehemu mbili kuu: Ufahamu na Ufupisho.
KES 638

International delivery
Free delivery on orders over KSh
Free click & collect