Miale ya Uzalendo


Miale ya uzalendo ni diwani yake Profesa Kitula King'ei. Diwani yenyewe ni mkusanyiko wa mashairi yanayolenga nyanja 
mbali za maisha kama vile uzalendo, utu, bidii na kadhalika. Aidha mshairi amewabebea bongo baadhi ya wasanii waliochangia 
kwa kiasi fulani katika kukikuza Kiswahili, huku akiwahimiza ndugu wapenzi wa Kiswahili waendelee kukikuza ili kifane duniani.
Msahiri amebobea vilivyo katika utunzi wake kwa vile ametumia mifano aina aina akizingatia arudhi na sheria za utungaji.
Waalimu, wanafunzi na wasomi kwa jumla watafaidika sana na diwani hii. Ni matumaini yetu kuwa huu sio mwisho wa utunzi wake bali ni kivutio cha yatakayofuata
 

ISBN: 9966472932 SKU: 2010143000082
KES 429
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect