Werevu wa Juma 2c

by A.S .Yahya


Werevu wa Jumo 2c ni kitabu kinachonuiwa kuendeleza msingi wa kusoma na kukuza uwezo wa kusoma wa wanafunzi wa Darasa la Pili katika shule za msingi.Miongoni mwa sifa za kipekee za kitabu hiki ni:

  • Masimulizi rahisi ya hadithi.
  • Hadithi mbili zenye kufunza utumiaji wa akili.
  • Kuondosha hali ya uchofu wa kusoma na kuingiza ucheshi katika maandishi kupitia vichekesho, mafumbo na sentensi fupifupi.
  • Kuwapitisha na kuwalea wanafunzi katika mazingira tofauti tofauti.
ISBN: 9780195730609 SKU: 2010143000150
KES 249
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect