Usininyonye

by Yuda Komora


Usininyonye ni hadithi yenye maana mengi lakini haijaribu kuhubiri. Kwa mawazo yenye kinakirefu mtungaji anazichangamsha fikira Za wasomaji akiwaonyesha vile tabia za binadamu ziwezavyo kulingana na za wanyama. Wasomajihawatakosa kufunuliwa fikira zao juu ya matatizo ya viumbe.

ISBN: 9789966497154 SKU: 2010143000227
KES 238
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect