Utenzi Haki za Watoto 5D


Kitabu hiki kimeandikwa kwa mtindo wa kishairi ili kujenga ustadi wa msomaji. Utenzi wa Haki za Watoto unaiarifu jamii kikamirifu kuhusu haki za watoto kwa ujumla. Lugha nyepesi na yenye mnato imetumika ili kumwezesha msomaji kuyaelewa yaliyomo kwa urahisi. Kando na kupanua fikira na mtazamo wa jamii kuhusu haki za watoto, kitabu hiki kinasheheni mashairi yenye mdundo wa kasi ya wastani yanayoweza kukaririkaau kughanika kwa urahisi.   

 

KES 331
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect