Visa vya Shilingi na Kobole

by Ruth Wairimu Karani


Muli na Ndungi ni marafiki wakubwa. Walimsaidia mvulana kwa jina Mumo kwenda nyumbani alipoteguka mguu wakicheza. Muli na Ndungi walipewa kila mmoja pakiti ya peremende na babake Mumo. Peremende za Muli zinaendelea kuongezeka. Peremende za Ndungi nazo zinaendelea kupunguka na mwishowe kumalizika. Je, ni kwa nini peremende za Muli zinaongezeka na za Ndungi kupungua?

ISBN: 9966951237 SKU: 2010143000200
KES 290
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect