Wanyamapori wa Afrika

by Story Moja

by Obondo


Kitabu hiki ni nyenzo muhimu cha kumwezesha mtumiaji kuimarisha ujuzi wake kuhusu wanyamapori wa Afrika.

Sifa zake kuu zinajumuisha:

1. Ufafanuzi wa kina kuhusu wanyama 101 wanaoishi katika mazingira mbalimbali.

2. Picha za kumsaidia msomaji kutambua kila mnyama aliyeelezwa.

3. Maelezo yakina kuhusu sura au maumbo ya kila mnyama aliyefafanuliwa.

4. Maelezo ya kina kuhusu makazi na chakula cha kila mnyama aliyefafanuliwa.

5. Maelezo ya kina kuhusu tabia na mienendo ya kila mnyama aliyefafanuliwa.

6. Ufafanuzi kuhusu ukweli wa ajabu au mambo ya kuvutia kuhusu kila mnyama aliyefafanuliwa.

7. Manufaa ya kiekolojia na ya kiuchumi ya kila mnyama aliyefafanuliwa.

8. Viungo vya_ wavuti’ vitakavyomwezesha msomaji kujifunza zaidi kuhusu kila mnyama.

Waandishi wa kitabu hiki wana tajriba pana za kufanya utafiti na ari isiyo kifani ya utunzaji wa wanyamapori.

ISBN: 9789966622174 SKU: 2010127000802
KES 751
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect