Kichaa cha Pesa

by Muthusi


Kila msomaji wa Taifa Leo bila ya shaka anamjua au amepata kumsikia Robert Muthusi. Yeye ni katika waandishi na wahariri mashuhuri wa gazeti hilo. Katika kitabu hiki 'Bob', kama rafiki zake wengi wanavyo mwita, anatusimulia vituko mbali mbali vya kila aina.Baadhi ya vituko hivi ni vya kuhuzunisha, vingine ni vya kusisimua, na vingine ni vya kuvunja mbavu. Visa vyote hivyo vimekusudiwa kututumbuiza.

ISBN: 996649765x SKU: 2010143000242
KES 215
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect