Ayubu Mashakani


Ayubu anagundua kwamba kuwa mtoto mbaya hakuna faida yoyote ila kumletea shida tu. Ugunduzi huo unamtoa mashakani na kumletea maisha yenye furaha na raha. Waliomwonea aibu sasa wanamwonea fahari.Ayubu Mashakani (Pepea na Kipepeo 3F) ni kitabu kinachonuiwa kumpa mwanafunzi fursa ya kufanya mazoezi ya kusoma kwa ziada huku akijiburudisha na kujifunza mambo kadhaa muhimu. Kinaweza kutumiwa pamoja na kitabu chochote cha kozi.

KES 150 KES 174
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 3,000
Free click & collect
Author John Habwe
ISBN 9789966498793
SKU2010143000368

Reviews

Leave a product review
or cancel