Azizi na mawe ya miujiza

by Story Moja

by Githinji


Azizi na Baba wanaona maajabu wanapotembelea duka la waganga. Mganga anafanya miujiza ambayo inabadili makaa kuwa mawe ya ajabu. Je, Azizi atatumia mbinu gani kupata mawe hayo?

ISBN: 9789966621283 SKU: 2010143001014
KES 350 KES 450
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 3,000
Free click & collect