Sungura Hakimu na hadithi nyingine

by Yahya Mutuku


Sungura ni mvivu na hataki kufanya kazi. Hata hivyo anatamani maisha ya raha mustarehe kama mfalme.
Ni lazima atumie akili vizuri la sivyo atakufa njaa. Sungura Hakimu na hadithi nyingine ni hadithi ambayo imeandikwa kwa namna ya kupigiwa mfano.
Sungura anatoka katika hali ya umaskini wa ombaomba na kuwa mfalme. Namna gani? Isome hadithi hii na nyingine ufaidi utamu wake.

ISBN: 9789966075550 SKU: 2010143000880
KES 220
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect