Darubini ya Kiswahili kidato 3

by Waihiga


Darubini ya Kiswahili ni mfululizo mpya wa vitabu vinavyofuatilia silabasi mpya ya shule za sekondari ambavyo vina sifa zifuatazo:

  • Maelezo ya kina pamoja na mifano ya aina zote za uandishi. 
  • Ufafanuzi na vielelezo vya makala ya redio na runinga. 
  • Makala ya magazeti kutoka eneo zima za Afrika Mashariki. 
  • Maelezo bayana na ufafanuzi wa tanzu mbalimbali za fasihi. 
  • Vifungu vya ufahamu vyenye mafunzo tele, mawazo mazito na kiwango cha juu cha lugha. 
  • Maelezo mapana na mifano maridhawa ya vipengele vyote vya kisarufi. 
  • Mazoezi chungu nzima yatakayomsaidia mwanafunzi kutathmini kiwango chake cha ufahamu. 
  • Mwongozo wa Mwalimu wenye maelezo na ufafanuzi wa jinsi ya kufunza mada mbalimbali zilizomo, pamoja na majibu ya mazoezi. 
  • Uwasilishaji wa hatua kwa hatua utakaomfamya msomaji kuelewa yaliyomo bila kutatanika.
ISBN: 9966471693 SKU: 2010127000223
KES 789
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect