Distinction Kipeo cha Insha Workbook Grade 5

by Distinction


KIPEO CHA INSHA Gredi ya Tano ni kitabu cha ziada kilichoandikwa kwa mujibu wa Mtaala mpya wa Umilisi. Kitabu hiki kimejumuisha mada zote za uandishi zilizomo katika ruwaza ya mtaala. Yaliyomo yamewasilishwa kwa ubunifu wa hali ya juu. Umilisi wa kimsingi ambao umezingatiwa ni masuala mtambuko, maadili miongoni mwa masuala mengine. Kitabu hiki kina shughuli mbalimbali za kufanywa  na mwanafunzi binafsi, wawiliwawili na katika vikundi.

ISBN: 9789966122186 SKU: BK00000008683
KES 450
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect