Diwani ya Karne Mpya

by Ken Walibora


Kama sanaa nyingine yoyote lie, ushairi wa Kiswahili umekua kwa mapana na marefu kunako karne kadhaa zilizopita. Siku zimepita ambayo shairi la Kiswahili lilikuwa sharti liwe na vina na mizani lisiitike guni. Maingiliano na ukopaji kutoka fasihi zingine za kilimwengu zimezaa ukubalifu wa miundo ya ushairi ambayo iliudhi miongo kadha iliyopita. Leo hii miundo ya jadi na mipya inaupamba ushairi wa Kiswahili. Kwa jumla diwani hii inasheheni mashairi ya washairi 18, wakongwe kwa chipukizi, wenye tajriba ya maisha ya ndani na nje ya eneo la Afrika Mashariki. Lililo muhimu ni ubunifu ambao kila mmoja wao ameuchangia ushairi wa Kiswahili.
ISBN: 9799966472891 SKU: 2010143000092
KES 522
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect