Kamusi ya Semi

by Abel Mkota, fauzia sakara


Kamusi ya Semi: Maana na Matumizi ni kanzi iliyosheheni semi nyingi kutoka maeneo tofauti ya Afrika Mashariki na Kati kunakozungumzwa Kiswahili. Kanzi hii aidha imejumuisha semi mpya ambazo zimeibuka kutokana na ukuaji na kuimarika kwa lugha ya Kiswahili. Kamusi hii itawanufaisha wapenzi wa lugha ya Kiswahili na kuwa mwenza muhimu kwa walimu na wanafunzi wa lugha ya Kiswahili popote walipo.Sifa nyingine zinazobainisha kamusi hii ni:

  • Idadikubwaya semi yazaidiya 4900,
  • Visa we zaidi ya 700,
  • Maana na mifano safi ya matumizi,
  • Ulinganishi wa semi zilizo na maana moja.

Kamusi hii itakuwa nyenzo muhimu na msingi wa kuujenga umilisi wako wa lugha ya Kiswahili.

ISBN: 9789966773616 SKU: 2010127000483
KES 815
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect