Fani ya Fasihi Simulizi kwa shule za Upili

by Assumpta K .Matei

 • ISBN: 9780195736540
 • SKU: 2010127000479

Fani ya Fasihi Simulizi kwa Shule za Upili kimeandikwa kwa lengo la kumfafanulia mwanafunzi tanzu na vipera vya fasihi simulizi kwa njia angavu na nyepesi. Muhitaji yote ya silabasi ya shule za upili yameshughulikiwu kwa kina. Mada zimejadiliwa kwa lugha rahisi na mifano anuwai ya uchanganuzi kutolewa. Yapo maswali yaliyotolewa mwishoni mwa mada. Maswali haya yanatahini stadi zote za ufumbuzi. Mwishoni mwa kitabu kumetolewa majibu ya baadhi ya maswali ya mazoezi.

KES 765

Customer Reviews

This product does not have any reviews yet - be the first to write one.

You may also like

 1. Fani ya Ushairi
  Fani ya Ushairi
  by Timothy Arege
  KES 638
 2. Kidagaa Kimemwozea
  Kidagaa Kimemwozea
  KES 550
 3. Uketo wa Ushairi Shule za Upili
  Uketo wa Ushairi Shule za Upili
  KES 585
 4. Darubini ya Sarufi
  Darubini ya Sarufi
  by Assumpa k.Matei
  KES 615