Fani ya Ushairi

by Timothy Arege


Fani ya Ushairi kwa Shule za Upili ni kitabu kilichofanytwa utafiti wa kina kuondoa dhana ya ugumu. Kitabu kimeandikwa kwa utaalamu mkubwa wa kumfafanulia mwanafunzi utanzu wa ushairi. Kila kipengele cha ushain kimeelezwa kwa npa nyepesi na kwa undani zaidi kwa lengo la kurahisisha uelewekapo

Mada zote za ushairi kwenye silabasi ya Kiswahili kwa Shule za Upili zimeshughulikiwa kwa kina na mifano anuwai kutolewa. Kila mfano umefafanuliwa kwa undani wa kumpa mwanafunzi mwangaza zaidi katika mada husika. 

Mwishoni mwa kila sura kuna maswali yaliyotolewa Maswali haya yatamwezesha mwanafunzi kupima uelewa wake katika mada alizosoma. Yanatahini stadi zote za ufumbuzi. 

 

SKU: 2010127000694
KES 800
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect