Upeo wa Sarufi kwa Shule za Upili

by Wakio


Upeo wa Sarufi ni kitabu kilichoandikwa kwa utaalamu kikimlenga mwanafunzi wa lugha ya Kiswahili. Kitabu hiki kinaweza kutumiwa na mwanafunzi wa sekondari au wa chuo kama kitabu cha kiada au cha marejeleo. Upekee wa kitabu hiki ni kwamba: maelezo ya kina yametolewa kwa lugha sahili inayomwezesha mwanafunzi kuelewa vipengele vyote vya sarufi, hata bila ya usaidizi wa mwalimu.  matumizi ya lugha katika muktadha yanatiEwa mkazo kuliko ukariri wa kanuni za sarufi.  mifano ya matumizi katika sentensi imetolewa kwa kila m.ada.  sehemu tata katika sarufi zimefafanuliwa.  kina mazoezi zaidi ya 200 na majibu yake. kinatumia michoro na picha kurahisisha uelewa.  kinashugh-ulikia silabasi nzima ya sarufi kwa sekondari, kama ilivyopendekezwa.  Kitabu hiki kimeandikwa na wataalamu wa lugha walio na ukwasi wa tajriba ya uandishi na ufunzaji wa sarufi ya kiswahili

ISBN: 9780195735604 SKU: 2010127000475
KES 766
International delivery
Free delivery on orders over KSh 2,000
Free click & collect