JKF Nyota ya Kiswahili Gredi 7 (Approved)


Kitabu hiki kimedhamiriwa kutumika kama mfululizo wa vitabu vya kiada kwa Gredi ya Saba. Kitawafaa mno wanafunzi wa daraja ya chini ya sekondari. Kimeandikwa kuambatana na mtaala mpya. Kitabu hiki kimelenga kumwongoza mwanofunzi katika masomo yake ya lugha ya Kiswahili kwa kutimiza maarubu ya mtaala wa kiwango husika. Ndani yake mna mbinu bora za ujifunzaji ambazo zitawaelekeza wanafunzi kuhusu njia bora za kutimiza malengo yao.Kimezingatia stadi zote za kujifunza lugha, yaani:

-Kusikiliza

-Kuzungumza

-Kusoma

-Kuandika

-Msamiati

-Sarufi

KES 522
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect