Kama Nigeweza Kupaa

by James H.Bwana


Vitabu vya Nyota vimetungwa maksudi ili viwawezeshe wanafunzi katika Afrika Mashariki kujifunza lugha ya Kiswahili katika hali ya kuburudisha. Kuna mengi ya kujifunza, yaliyomo na hata mitindo tofauti iliyotumiwa. Watoto watajifunza haya yote.

Kama Ningeweza Kupaa ni hadithi inayosimulia hamu ya kijana mmoja ya kutaka kupaa angekuwa na mabawa. Akiwa katika hali hii yakutamani, anajiona kama kwamba yumo hewani akiviona hata kuvigusa vilivyomo. Isome hadithi hii ya kusisimua ajabu! Kitabu hiki kimenuiwakusomwa na wtoto wa darasa la tatu, la nne na la tano.

ISBN: 996646705x SKU: 2010143000220
KES 200 KES 274
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 3,000
Free click & collect