Atendaye Mema


Atendaye Mema by David G.Maillu

...Punde to Mbolea akamwona nyoka. Akashtuka na kulia huku akijaribu kutoroka. Lakini hakuwa na nguvu za kutosha. Akamwambia nyoka, " Nakuomba usiniue, mimi, ni maskini na yatima". Soma upate kujua yaliyompata kijana Mbolea. Hii ni hadithi ya kusisimua na yenye mafunzo mema kwa vijana.

KES 340
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect