Made Familiar: Miembe ya Ajabu Level 3

by ZAWADI


Toma ananunua miche ya miembe. Bela hapendi miembe hiyo lakini Toma anaipanda. Toma anatunza miembe yake vizuri lakini miembe
haikui. Mama na Baba wanasema miembe hiyo si ya kawaida. Je, ni miembe ya aina gani?

ISBN: ZAWADI SKU: BK00000003025
KES 275
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect