Njia Panda 8d

by Boukheit Amana


Njiapanda 8d ni kitabu kinachotenga wanafunzi wa Darasa la Nane katika shule za msingi ili kuendeleza na kukuza uwezo wao wa kusoma. Miongoni mwa sifa za kipekee za kitabu hiki ni:

• masimulizi rahisi kwa njia ya hadithi, tamthitia ndani ya hadithi, mbinu rejeshi na uzungumzi nafsia.

• kuingiza ucheshi katika maandishi kupitia masimulizi, dayolojia, misemo, methali, taharuki, tashibihi, tashihisi, taknn, kejeli, chuku, tanakali za sauti, maswati ya batagha. taswira na picha za rangi zenye kusisimua.

• kuwapitisha na kuwalea wanafunzi katika mazingira ya ujana na matatizo yoke, maisha ya nyumbant, shuleni na hospitatini, matezi, afya, umuhimu wa teknotojia, habari na mawasiliano, uwajtbikaji, kazi, utu, uvumilivu, haki za binadamu na haki za watoto, kuishi kwa utangamano na amani.

Mradi wa Kusoma ni mfululizo wa vitabu vya ziada ambao unaambatana na kozi ya Kiswahili Sanifu.

ISBN: 9780195734430 SKU: 2010143000388
KES 250 KES 360
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 3,000
Free click & collect