Pesa za Suki


Suki ni mwanafunzi wa darasa la sita. Alikuwa akijiwekea akiba ili anunue kitabu cha picha za wanyamapori wakati wa likizo.
Kabla ya siku ya kwenda kununua kitabu kufika, tukio la ajabu linatokea. Mwizi anaingia nyumbani kwa kina Suki na kuiba 
kisanduku cha Suki cha kuhifadhia pesa na vitu vingine. Askari polisi wanaarifiwa kuhusu wizi huo, lakini hawafanikiwi 
kumkamata mwizi. Suki anaamua kufanya upelelezi ili ajue ni nani aliyeiba kisanduku chake. Je, atafanikiwa?
 

ISBN: 9789966347961 SKU: 2010143001114
KES 342
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect