Sikate Tamaa

by Said Mohamed


'Katika kila jamii hupatikana watunzi au wasanii wenye misimamo na mikabala mbali mbali ya kuangalia na kwenda nayo jamii yao . huifahamu jamii na kuyafahamu mahusiano yaliyoko baina ya matabaka mbali mbali ya jamii hiyo... huihakiki na kuieleza kama ilivyo kwa madhumuni ya kusaidia kuleta mafanikio na maendeleo ya kweli...'

ISBN: 9966497048 SKU: 2010129000008
KES 350 KES 452
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 3,000
Free click & collect