Storymoja Kijiji cha Ushindi


Binti Kitabu ni mwanamke anayejitahidi kupigania haki za wanadamu na kuendeleza elimu ya vitabu. Anafanya hivyo kwa kuvikomboa vijiji mbalimbali dhidi ya maonevu na udhalimu wa viongozi waovu. Nyanya mzaa baba anamtuma aende aokoe Kijiji cha Mageta. Anapofika huko, Mzee Kobe anamfahamisha maonevu yanayowakumba wanakiiji. Ingawa Wanamageta wana kiongozi wao, Mzee Makora, bado wako chini ya ukoloni wa Mzee Mabinde ambaye ni kiongozi wa Kijiji cha Maguvu. Mzee Mabinde anatumia pete maalum ya kichawi kuwazuzua wenyeji wa_ vijiji mbalimbali wakiwamo Wanamageta pamoja na vongozi wao. Lengo lake ni nini? Je, Binti Kitabu atafanikiwa kuwakomboa Wanamageta?

KES 500
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect
UPCBK00000003184
Author Storymoja
ISBN 9789966622747
Publisher Storymoja
SKUBK00000003184

Reviews

Leave a product review
or cancel

Products you recently viewed