Storymoja Life series: Masaibu ya Mwende

by Story Moja

by Gicovi


Mwende, msichana wa miaka kumi na mitatu, anajipata matatani anapojiingiza kwenye mahusiano ya kimapenzi na mvulana mmoja shuleni kwao. Jambo hili linasababisha mtafaruku kati ya Mwende na shangazi yake mlezi. Je, mvutano huu kati ya msichana na shangaziye utazaa matunda yanayofaa kwa wote wanaohusika? Jisomee hadithi hii uone yanayojiri.

ISBN: 9789966066923 SKU: 2010143000907
KES 480
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect