Topnotch Guru ya Kiswahili Paper 1,2 & 3


TOPNOTCH - GEORGIAN GURU YA KISWAHILI-OCTOPUS REVISION MASTER ni kitabu babumkubwa kilichoaandaliwa kikaandalika kwa minajili ya kuwaimarisha wanafunzi wa kidato cha nne ili wakifikie kilele, kileleta na kilelecha cha ufanisi. Kina maswali na majibu anuwai ya kuyatibu 'maradhi' yanayowatinga wanafunzi kila uchao.Sasa hakuna kilio tena na kama kitakuwepo , basi kitakuwa cha furaha na buraha ya matokeo bulibuli bin aula. Ukikosa kitabu hiki, usije ukalalamika wala kujuta! Ili kuyakidhi mahitaji ya mwanafunzi, kina marudio faafu katika karatasi zote tatu_102/1, 102/2 na 102/3. Vilevile, sheria za utahini zimeangaziwa kwa marefu na mapana.

KES 1,200
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect
UPCBK00000005966
Author Topnotch
ISBN BK00000005966
Publisher Topnotch
SKUBK00000005966

Reviews

Leave a product review
or cancel