Upeo wa Insha kwa Shule za Upili


Upeo wa Insha hwa Shule za Upili ni kitabu kilichoandikwa na walimu wenye tajiriba pana iii kumwongoza mwanafunzi hatua kwa hatua katika utungaji na uandishi wa insha. Katika kitabu hiki, utapata:

  • insha zote zilizopendekezwa katika silabasi ya Kiswahili kwa shule za upili 
  • maana ya kila aina ya insha 
  • miundo ya aina zote za insha 
  • sifa bainifu kwa kila aina ya insha 
  • umuhimu na tahadhari zinazoandamana na kila utungo 
  • mifano kemkemu ya insha, pamoja na maswali ya mazoezi 
  • maelezo kuhusu uandishi na utahini wa insha. 

Kitabu hiki ni hazina tosha kwa mwanafunzi, mwalimu na yeyote ambaye angependa kuimarisha ujuzi wake wa mbinu za utungaji.

KES 766
International delivery
Free delivery on orders over KSh 2,000
Free click & collect