Usinitese!


Kunao wazazi wanaozipuuza haki za watoto wao, kisingizio ikiwa ni mbio za maisha. Katika hadithi hii, mtoto Gisela anateswa na familia yake. Anapelekwa kwenye kikao cha watoto ambako alipata fursa ya kutetea haki za watoto wengine. Vitabu vya Adili vimekusudiwa kuburudisha na kuelekeza. Kitabu hiki kimependekezwa kwa madarasa ya juu katika shule za msingi.

KES 354
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect
Author Francis Atulo
ISBN 996622906x
SKU2010141001984

Reviews

Leave a product review
or cancel