Ziara ya Meno


Ziara ya Meno Siku ya Meno ni hadithi ya pili katika msururu wa "Mazingira na Afya'. 
Kitabu hiki kinashughulikia usafi na afya ya meno. Lengo hili limetimizwa kupitia safari ya akina Baraka na Zawadi.
Njia za kutunza meno na athari za kutoyatunza zimewekwa wazi kupitia majadiliano baina ya wahusika. 
Je, wahusika wananufaika mwisho wa kikao?
 

KES 190
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect
UPC2010143000713
Author Zawadi
ISBN 9789966788849
SKU2010143000713

Reviews

Leave a product review
or cancel