Ziro, rafiki mnafiki
by Queenex
Anabel Suluhu, msichana wa miaka 12, anasimulia jinsi anavyoponea tendo la unajisi kwa tundu la sindano. Fredrick Ziro, ambaye ni mkulima hodari wa kijijini, tena rafiki wa karibu wa familia ya akina Anabel, anajifanya mtu mwema sana na mtetezi wa haki za wasichana kijijini. Anaonyesha ukarimu mkubwa kwa Anabel na mama yake, kumbe chini kwa chini anapanga njama ya kumchafulia Anabel maisha.
Out of stock
KES 350

International delivery
Free delivery on orders over KSh 2,000
Free click & collect