Zuhura na Redio ya Ajabu


Vitabu vya Nyota vimetungwo kwo tengo la kuwawezeshe wanafunzi katika Afrika Mashariki kujifunza lugha ya Kiswohili. Lugha itiyotumiwa ni yo kuvutia na hadithi ni za kuburudisha. 

Zuhura ni msichana mwenye ubunifu mwingi. Angependa sana kuwa fundi wa redio. Lakini haelewi mfumo wa redio hata kidogo. Anafanya udadisi kuhusu redio bila mafanikio. Siku moja akiwo anacheza no wenzake, maisha yoke yanabadiliko no kumfunza mengi kuhusu redio. Kisa hiki ni cha kuvutia na kutia moyo. 

 

KES 307
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect
UPC2010143000470
Author EAEP
ISBN 9789966255198
Weight (kg) 0.1
SKU2010143000470

Reviews

Leave a product review
or cancel