Chapuo cha Insha shule za msingi (Queenex)


Chapolishni unachochanganua kwa kina na maana mbinu borata uandishi wa insha kwa 
wanafundi wa shule ya msingi kimeangalia changamoto mbalimbali zinazowakumba wanafunzi 
katika uandishi wa insha na kutoa suluhisho la kukabiliana na kila changamoto Chapolincheni 
kitabu ambacho Nimewasilisha mifano mbalimbali ya inshasenye mvuto wa kipekee 
unaochangiwa na ustadi wa hali ya juu wa kuyasuka matukio ya visa katika maingira mbalimbali 
Kitakuza na kuboresha msamiati, sarut, ubunifu, umilisi wa mawasiliano katika 
lugha ya Kiswahili na maadili mbalimbali. Visa vya kitabu hiki naibua mjadala ambayo itakua 
stadi ya kusikia kuzungumza kusoma na kuandika huku vikimwacha mwanafunzi na hamu na hamu ya kujifunza zaidi. 
Kitabu hapa itawafaa walimu katika kuwaelekeza wanafunzi kuwa waishi mahiri
Hellen Kangal ni mwalimu mwenye tajriba na mlisi wa kuw a wanafuni katika kujifunza somo kiwwahili 
Amewaandaa wanafunzi katika mtihani wa K.CPE katika shule mbalimball Ananifahamu vyema changamoto 
zinazowakumba wanafunzi katika lugha ya Kiswahili hasa wandishi wa insha kwa hivyo, amekiandika kitabu hili 
kuwasaidia wanafuni kukabiliana na changamoto
 

KES 390
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect
UPC2010127000807
Author Kangai
ISBN 9789966140081
SKU2010127000807

Reviews

Leave a product review
or cancel