Distinction Kipeo cha Kiswahili Grade 5 (Approved)

by Distinction


KIPEO CHA KISWAHILI GREDI YA 5 kimeandikwa kwa ajili ya mwanafunzi wa lugha ya Kiswahili katika shule ya msingi daraja la juu ili kujenga stadi na umahiri ufaao wa kuwasiliana, kutangamana na kushiriki katika miktadha mbalimbali ya kitaifa, kikanda na kimataifa kwa kutumia lughakuzungumza n@ kuandika. Hali hii inatokana na mabadiliko katika Mfumo wa elimu wa 8-4-4- hadi wa Umilisi nchini Kenya. 

ISBN: 9789966122438 SKU: BK00000008664
KES 590
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect