Distinction Shughuli za Kiswahili Workbook Grade 3


DISTINCTION KISWAHILI WORKBOOK GREDI YA 3 kimeandikwa kumsaidia mwanafunzi na mwalimu. Kimezingatia stadi za lugha nne: Kusikiliza na kuzungumza, Kusoma Kuandika na Sarufi. Katika kiwango hiki, ni muhimu mwanafunzi kujenga na kukuza stadi za lugha hizi ili kujiamini na kukomaa katika Kiswahili.

KES 520
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect