Kunganyira

by Haji Gora Haji


Kunganyira ni maskini anayetegemea ukarimu wa jirani na marafiki. Siku aliyopata kitoweo Kunganyira alichukia ukarimu, akaona kwamba ukarimu ni uonevu! Ni nini kilimtokea baada ya hapo? 

ISBN: 9966010858 SKU: 2010143000568
KES 174
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect