Kurunzi ya Mazoezi ya Kiswahili Gredi ya 4

by Matei, Mwamburi, Wangome and Atulo


Kurunzi ya Mazoezi ya Kiswahili Gredi ya 4 ni kitabu kilichoandaliwa kwa ustadi ili kumrahisishia mwanafunzi uelewa wa mfumo mpya wa elimu wa umilisi. 
Sifa za kitabu hiki: 
- Maswali yote ya Tathmini na Majaribio yanafuata muundo na ruwaza ya sasa
ya Baraza la Kutunga Mitihani Kenya (KNEC); hivyo yanampa mwanafunzi
sura kamili ya tathmini ya shuleni na kitaifa
. kinafuata kikamilifu mfumo mpya wa umilisi.
. Kina majaribio tosha ya mwisho wa kila muhula.
. Kina tathmini ya mwisho wa mwaka inayotathmini kuafikiwa kwa malengo ya mwaka mzima.
. Maswali yana michoro na picha za kuvutia kurahisisha uelewa wa mada lengwa.
. Majibu ya Mazoezi yote yapo mwishoni mwa kitabu hiki. Majibu haya yanamlenga mwanafunzi, mzazi au mlezi na mwalimu.

ISBN: 9789966572707 SKU: BK00000001599
KES 458
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect