Marejeo (KLB)


Tamthilia ya Marejeo inawahusu vijana kama Muniko walioenda ng'ambo kitambo kutafuta elimu bali hawakurudi. Badala yake walianza kutetea kile walichokidai kuwa ni haki ya wanyonge waliokuwa wamewaacha nyuma katika Bara la Afrika. Katika mkabala huu switafahamu uliibuka kati yao na watu wa jamii ya waliokuwa wameanza kukata tamaa ya kusubiri. Hatimaye akina Muniko walitimuliwa: wakarudi makwao bila shahada. Kufika nyumbani ikawa ndiyo wamechelewa kukabidhiwa hatamu za uongozi; kina Tunda tayari wakiwa ndio wabunge. Lakini Muniko haonekani kukata tamaa, licha ya huku kutupwa mkono na watu wa chao pamoja hata na wazazi wake. Je lengo lake ni nini? Je watu kama Muniko wana nafasi gani katika jamii yetu?   

 

KES 225
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect
Author Chacha
ISBN 9789966447876
SKU2010143000380

Reviews

Leave a product review
or cancel