Upotevu
Kemathi ni mwanafunzi wa shahada ya pili katika Chuo Kikuu cha Nairobi. Yeye na wenzake wanangojewa na jamii kuipa
mwelekeo kutokana na elimu yao. Lakini je, elimu yao imewataarishia wajibu huu? Watawahi kupambana na matatizo ya
kibinafsi na kijamii yanayowazingira?
Mwenda Mbatia ni Mhadhiri wa Fasihi ya Kiswahili katika Idara ya Isimu na Lugha za Kiafrika, Chuo Kikuu cha Nairobi.
Ameandika makala nyingi za tahakiki, mapitio ya vitabu vya fasihi pamoja na hadithi fupi. Amekuwa kwenye mstari wa mbele
katika kukitetea Kiswahili - redioni, magazetini, vitabuni na kwingineko. ."
KES 300
KES 406

International delivery
Free delivery on orders over KSh
Free click & collect