Ndoto ya Riziki (KLB)


Kama lilivyo jina lake Riziki, alipata riziki kutokana na kujitolea kwake. Hakufa moyo kwamba sasa alikuwa yatima. 
Isitoshe, katumbuliwa macho na jukumu la kuyakimu mahitaji ya nduguze. Wanenao hunena kuwa, riziki kama ajali haitambuliwi 
ijapo. Je, ni ukweli? Ungana na mwandishi wa hadithi hii ili kutambua ukweli wa methali hii. 
Miongoni mwa vitabu vingine katika mfululizo huu kwa kiwango cha darasa la sita ni: 
• Machozi ya Barafu
•Ngoma za Uchawi 
• Ndoto za Matumaini 
• Mwanga wa Tumaini 
• Safari ya Ushindi
• Sitaki Nife! 
• Maisha ya Shujaa Heshima 
• Mbio za Sakafuni 
• Msitu wa Uma
• Masaibu Mbugani 
• Hongera Mwanangu

KES 113
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect
UPC2010143000828
Author Wairimu
ISBN 9789966101365
SKU2010143000828

Reviews

Leave a product review
or cancel