OUP Kiswahili Dadisi Workbook Grade 5

by Oxford


Kiswahili Dadisi Workbook ni msururu wa kipekee wa vitabu vya mazoezi katika Mtalaa wa Umilisi. Kila kitabu katika msururu huu kimefanyiwa utafiti wa kina na kuandikwa kwa ustadi ili kuwasaidia wanafunzi kupata umilisi wa kimsingi, ujuzi, maadili na kuwa na mitazamo bora maishani. Vitabu hivi vinatoa utaratibu mwafaka wa kufanya mazoezi ya lugha kwa njia nyepesi na ya kueleweka. ...

ISBN: 9780195745702 SKU: BK00000003958
KES 545
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect