Si Kupenda kwake 3b


Si kupenda kwake 3b ni kitabu kinachonuiwa kuendeleza msingi wa kusoma na kukuza uwezo wa kusoma wa wanafunzi wa Darasa la Tatu katika shule za msingi.Miongoni mwa sifa za kipekee za kitabu hiki ni:

  • Masimulizi rahisi ya hadithi.
  • Kuondosha hali ya uchovu wa kusoma kwa kuingiza ucheshi katika maandishi kupitia mzaha, hotuba na sentensi fupifupi.
  • Kuwapitisha na kuwalea wanafunzi katika mazingira ya uadilifu shuleni na kuwahurumia na kushirikiana na wenye upungufu.

Mradi wa Kusoma ni mfululizo wa vitabu vya ziada unaoambatana na kozi ya Kiswahili Sanifu. Vitabu vingine katika kiwango hiki ni:

KES 249
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect
UPC2010143000238
Author Pamela M.Y.Ngugi
ISBN 9780195730654
SKU2010143000238

Reviews

Leave a product review
or cancel