Soma nasi: Kusoma na Kuandika Gredi 3


Soma nasi, Kusoma na kuandika Kiswahili ni msururu wa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa upekee iii kutosheleza mahitaji ya mtalaa mpya wo Vitabu hivi vitamwezesha mwanafunzi kupata ufahamu wa lugha kupitia stadi za kusikiliza. kuzungumza, kusoma na kuandika. Aidha. vina mazoezi murua ambayo yatampa mwanafunzi hamu ya kujifunza. Pia vinakuza umilisi utiopendekezwa. maaditi na kufahamisha kuhusu masuala ibuka. Katika Soma nasi, Kusoma na kuondika Kiswahili, Kitabu cha Mwanafunzi, Gredi 3. utapata:
• mada zilizopangwa kwa kuzingatia mtalaa mpya
• mifano halisi ya miktadha ambapo lugha hutumika
• mazoezi nje ya darasa ili kuendeleza ujifunzaji na kuwashirikisha wanafunzi katika shughuli za kijamii zinazokuza ujifunzaji
• mazoezi yanayomhusisha mwanafunzi moja kwa moja
• jinsi ya kuwashirikisha wazazi na walezi ill kuimarisha uwajibikaji
• sehemu ya 'Tujifurahishe inayolenga kuwasisimua wanafunzi wanapotumia lugha.
Soma nasi, Kusoma na kuandika Kiswahili. Kitabu cha Mwanafunzi kina Mwongozo wa Mwalimu ambao pia una mazoezi na maelekezo tosha ambayo mwaltmu atahitaji ili kumwongoza mwanafunzi aweze kufaulu katika mtalaa huu mpya wa Umilisi.

KES 487
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect
UPC2010127000708
Author Hellen Inyega, Evans Osoro, Jackline Ndege, Doris Kachipela, Anduvate Mwavali
ISBN 9780195746969
Weight (kg) 0.6
SKU2010127000708

Reviews

Leave a product review
or cancel