Storymoja: Uamuzi wa Wanyama


Kwa miaka na mikaka, wanyama katika msitu wa Ngome wameishi kwa amani. Mfalme Simba  anaandaa karamu ya kusherehekea urafiki baina ya wanyama. Hata hivyo, karamu inakatizwa wanyama wanaposhambuliwa kwa vijiti kutoka
angani. Baadhi ya wanyama wanakufa. Wanyama wanaosalia wanalazimika kupambana na adui wasiyemfahamu. Vita vinabadili vipi uhusiano miongoni mwa wanyama?

KES 350 KES 420
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 3,000
Free click & collect
UPCBK00000003191
Author Hillary Namunyu
ISBN 9789966622587
Publisher Storymoja
SKUBK00000003191

Reviews

Leave a product review
or cancel