Dhibiti PTE Kiswahili


Mastering PTE ni msururu mpya wa vitabu vya kiada unaokidhi kwa kina mahitaji ya silabasi ya Elimu ya Vyuo vya Ualimu wa Shule za Msingi (PTE). Kila kitabu katika msururu huu kimetungwa na waandishi mabingwa wenye tajriba katika nyanja zao. Kinamwandaa na kumpa mkufunzi, mhadhiri na mwalimu ujuzi na stadi muhimu atakazozitumia kutekeleza wajibu wake wa kufunza kwa ustadi.   

KES 1,050
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect