Matilda na Salama

by Judith Jefwa


Matida alikuwa paka mweupe mzuri. Alipanda Kwenye ukuta na kuanza kujilamOa na kuyachana manyoya yake kwa kucha Mara alimwona Salama. Akafikiri. "Huyu Salama ni mtoto mchokozi sana Akimona tu. atanitupia jiwe.-Papo hapo. Salama akamwona Matida. Matida |alilia upesi na kumpura Matilda. Matilda atha kwa uchungu.

ISBN: 9966465278 SKU: 2010143000192
KES 274
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect