Shetani Msalabani

by Ngugi Wa Thiong'o


Shetani Msalabani ni hadithi ya wazalendo wanne: Wariinga, msichana aliyenyanyaswa sana na vibaraka wa wabeberu; Wangari, mkulima mdogo aliyetaabishwa na mabepari; Muturi,mfanyi kazi mwerevu; na Gatuiria, kijana aliyeelimika sana. Wote wanasafiri kwa matatu ya jambazi moja linaloitwa Mwauraandu ambalo limeajiriwa na mabepari kutaabisha na kunyanyasa jamii.

ISBN: 9789966461674 SKU: 2010143000599
KES 692
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect