Safari

by Omwaka


Tamthilia ya Safari inamulika chombo na abiria katika hadubini pevu ya kujitanzua. Watumaini walipogharikiwa, hawakuyaanika matambara yao ili yanyonyote na kukauka na sasa kuna fondogoo kiamboni. Kule nje, hujuma za viwavi zimeathiri mandhari pakubwa nao wakulima wamekula mbegu. Baada ya Mahiri kung'atuka, Daktari anaandaa hafla ya kifahari ili kuyasanifu mambo. Je, Watumaini watasafiri?

ISBN: 9966223894 SKU: 2010143000270
KES 507
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect